Aloha Private Browser - VPN

Ununuzi wa ndani ya programu
Maoni elfu 384
Daraja la maudhui
PEGI 3
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Intaneti Isiyokuwa na Vikwazo, Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Karibu Aloha, kivinjari chenye kasi ya ajabu na salama kutumia kilichoundwa maalumu kwa ajili ya kukupatia faragha ya juu zaidi.

🌐 KIVINJARI CHA FARAGHA & HARAKA KISICHO NA MALIPO 🌐

Jizamishe katika ulimwengu wa Aloha, programu bora ya kuperuzi mtandaoni kwa faragha na ujasiri usio na kifani. Aloha imeundwa maalumu ili kukupatia uwanja wa kuperuzi mtandaoni kwa usalama na kwa kasi ya kipekee. Aloha inakupatia nafasi ya kuperuzi mtandaoni kwa haraka bila kikwazo chochote.

🔒 KIVINJARI CHENYE VPN YA BURE & ISIYO NA KIKOMO 🔒

Staajabu uwezo wa Aloha, kivinjari chenye VPN kinachokuwezesha kuperuzi mtandaoni kwa ujasiri. Agana na vikwazo vya kijiografia na furahia usalama na kasi ya ajabu wakati ukiperuzi mtandaoni. Jikomboe na Aloha, kivinjari chenye VPN ambayo sio tu ya faragha bali pia inapatikana bila malipo.

🚀 KIVINJARI CHENYE AD BLOCK 🚀

Furahia kuperuzi mtandaoni kwa spidi ya roketi ukitumia Aloha, kivinjari bora zaidi chenye uwezo wa kudhibiti matangazo. Epuka matangazo yasiyofaa kwa kutumia kivinjari chetu ambacho kina uwezo wa kuzuia matangazo na kukuwezesha kuperuzi mtandaoni kwa spidi ya roketi.

🔒 VICHUPO VYA FARAGHA VYA KIVINJARI&SANDUKU SALAMA 🔒

Imarisha usalama wako wa kuperuzi mtandaoni ukitumia Aloha, kivinjari bora zaidi cha wavuti cha faragha. Furahia vichupo salama na ulinzi wa neno la siri kwa usalama ulioimarishwa ndani ya programu hii ya kibunifu inayokuwezesha kuperuzi kwa faragha.

🎵 KIVINJARI CHA FAILI & MENEJA WA UPAKUAJI MTANDAONI 🎵

Aloha Browser ni programu yenye faragha ya juu kwenye kumeneji mafaili bila vikwazo vyovyote. Pakua video, muziki na mafaili ukiboresha kuvinjari mtandaoni kupitia kivinjari hiki cha faragha.
Kivinjari cha faragha kinajumuisha pia kicheza video na muziki. Tazama na sikiliza filamu, matamasha pamoja na opera ukiwa na uwezo wa kudhibiti kulingana na mahitaji yako.

📡 HAMISHA MAFAILI KWA KUTUMIA Wi-Fi 📡

Hamisha mafaili kutoka kifaa kimoja hadi kingine kupitia kivinjari chetu kwa njia ya Wi-Fi kwa faragha ya hali ya juu.

🔐 KIVINJARI CHENYE VPN & USALAMA WA JUU ZAIDI 🔐

Baki salama na Aloha, VPN na programu bora ya kuperuzi mtandaoni! Furahia kuperuzi kwa faragha ukitumia vipengele vyetu vya usalama pamoja na VPN bure.

Kivinjari cha Aloha ndio suluhisho pekee la kuperuzi mtandaoni kwa usalama bila kubughudhiwa na matangazo. VPN ya bure iliyojumuishwa, uwezo wa kudhibiti matangazo pamoja na pochi ya haraka ya crypto zinahakikisha kuwa matumizi ya mtandao ni ya faragha na salama zaidi. Pakua programu hii ufurahie kuperuzi salama na kwa faragha sasa!

Kuhusu Aloha
Aloha ni nguzo kuu ya Aloha Browser. Hii ni programu ya kwanza ya kutoa huduma ya VPN bure yenye uwezo wa kudhibiti matangazo na sifa ya pochi ya crypto iliyojumuishwa ndani yake. Tunahakikisha kuwa tunakupatia uwanja wa kuperuzi kwa usalama na kwa faragha ya juu wakati wote unapotumia mtandao.

Kwa taarifa zaidi tembelea: https://alohabrowser.com/
Jiunge nasi kupitia Facebook: https://www.facebook.com/alohavpnbrowser
Tufuatilie kwenye Twitter: https://twitter.com/alohabrowser/
Kwa maswali na usaidizi zaidi wasiliana nasi kupitia support@alohabrowser.com

Sera ya Faragha: https://alohabrowser.com/privacy-policy.html
Sheria na Masharti: https://alohabrowser.com/terms-conditions.html
Kuvinjari bila jina na kizuizi cha matangazo. Muunganisho salama.
Ilisasishwa tarehe
30 Sep 2026
Habari zinazoangaziwa

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
    Mahali na Utendaji na maelezo ya programu
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Taarifa binafsi, Picha na video na nyingine5
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

Maoni elfu 371

Vipengele vipya

Meet Aloha Cloud storage plans: up to 2 TB of secure cloud space for your files, built right into your browser.
- Back up downloads, files and whole folders to Aloha Cloud.
- Files are tied to your Aloha profile, so they stay with you after a new phone or app reinstall.
- Watch videos, view photos and play music straight from the cloud, no download needed.
- Pick the plan that fits you.